Karibu kwenye Briar
lakabu lako litaonekana kwenye kila chapisho lako . Na hutaweza badilisha baada ya kuteneneza akaunti yako .
Ifuatayo
Chagua neno siri
Akaunti yako ya Briar imeifaziwa katika msimbo fiche kwenye kifaa chako ,nasio kwenye mawingu. Kama utasahau nywila yako au kuondoa Briar, hamana namna unaweza kuokua akaunti yako . \n\nchagua nywila ndefu ambayo ni ngumu kubuniwa , kama maneno mannne ya nasibu, au kumi ya barua za nasibu, namba na herufi.
Uhusiano wa nyuma
Kupokea ujumbe kwenye Briar unaitajika uwe umeunganishwa kwenye mkondo.
li kupokea ujumbe , Briar unatakiwa uwe umeunganishwa kwenye mkongo kwa nyuma . Tafadhali tengua uboreshaji wa betri ili Briar iendele kuunganishwa.
Ruhusa kuunganishwa
Chagua lakabu yako
Chagua nywila yako .
Hakikisha nenosiri lako
Jina ni refu sana .
Nywila yako ni dhaifu
Nenosiri zako haziendani
Tengeneza akaunti
Habari za ziada
Usiulize tena
tafathali bonyeza alama hapo chini ili kuhakikisha Briar imelindwa na \"programu Ulizi\" kwenye kioo chako
Linda Briar
Kama Briar haija wekwa kwenye orotha programu ulizi, haitaweza kufanya kazi kwenye nyuma ya mkongo
%shaijawezekana kujiendesha kwa nyuma ya mkongo
Nywila
nenosiri
Umekosea nywila , jaribu tena
Umekosea nenosiri, jaribu tena
Haiwezi Kuangalia nywila
Briar hawezi kuangalia nywila yako. Tafadhali jaribu kuwasha upya kifaa chako ili utatue shida hii.
Ingia
Nimesahau nywila yangu
nimesahau nenosiri yangu
Umepoteza nywila.
Umepoteza nenosiri.
Briar hawezi kuhifadhi nywila yako. Tafadhali jaribu kuwasha upya kifaa chako ili utatue shida hii.
Briar imeshidwa anza
Bonyeza kwa taarifa zaidi.
Briar imeshindwa kuanza
Kutokana na sababu mbali mbali briar yako imevurugika kwenye hifadhi data. Na akaunti yako data na mawasiliano yako yote yamepotea. Itabidi upakue tena briar au tengeneza akaunti nyingine ila chagua umesahau nywila yako pale kwenye uwanja nenosiri .
Akaunti yako imetengenezwa na tolea la zamani la programu hii na Haiwezekani kufungua hili toleo . Nilazima ubadili hili toleo la zamani au utengeneze Akaunti mpaya kwa kuchagua umesahau nenosiri Katika uwanja wa nenosiri
Hili toleo la programu ulilo tumia nila zamani . Tafathi boresha kuwa toleo jipya na ujaribu tena .
Briar imeshindikan kuanza Unabidi uunganishwe . Hianzishe Briar kama kwawaida kuondoka hilo tatizo . Japo kuwa utapoteza Akaunti yako na data zako zote kutokana na briar hifadhi data zako kwenye save kuu.
- Hili ni toleo la jaribio la Briar. Akaunti yako itaisha %d kwa siku na haiwezi kufanywa upya.
- Hili ni toleo la jaribio la Briar. Akaunti yako itaisha %d kwa siku na haiwezi kufanywa upya.
Hii programu imemaliza muda wake.\nAsante kwa kujaribu
Ili kuendelea kutumia Briar, tafadhali pakua toleo la hivi karibuni.
Unahitajika kutenege Akaunti Mpaya , ila unaweza endelea kutumia lakabu yako .
Pakua Kupaata toleo la hivi Karibuni
Kupunguka Hifadhidata
Boresha Hifadhidata
Kuingiliana Hifadhi data rununu
Fungua njia ya Usambazaji
Funga njia ya Usambazaji
Mawasiliano
Vikundi vya kibinafsi
Ukumbi
Blogi
Funga programu
Mipangilio
Kutoka
Gonga hapa kudhibiti jinsi Briar inavyounganishwa kwenye mawasiliano yako
Mtandao
Simu yako ina upatikanaji wa mtandano kupitia Wi_Fi
Simu yako ina upatikanaji wa mtandano kupitia data ya rununu
Simu yako haina upatikanaji wa mtandao
Briar inaunganishwa kwenye Mtandao
Simu yako imeunganishwa kwenye Mtandao
Briar haiwezi kuunganishwa kwenye Mtandano
Briar imeundwa kutotumia Mtandao
Briar imeundwa kutotumia data rununu
Briar imeundwa kutotumia Mtandao wakati wa kutumia betri
Briar imeundwa kutotumia mtandao kwenye nchi hii
WI-FI
mtandao sawa wa Wi_Fi
Simu yako imeunganishwa na Wi_Fi
Simu yako haijaunganishwa na Wi_Fi
Briar inaunganishwa na mtandao wa Wi_Fi
Briar imeunganishwa na mtandao wa Wi_Fi
Briar haiwezi kuunganishwa kwenye mtandao wa Wi_Fi
Briar imeundwa kutotumia mtandao wa Wi_Fi
Bluetooth
Bluetooth ya simu Yako imewashwa
Bluetooth ya simu Yako imezimwa
Briar inaunganishwa na Bluetooth
Briar imeunganishwa na bluetooth
Briar haiwezi kuunganishwa na Bluetooth
Briar imeundwa kutotumia Bluetooth
Toka Briar
bonyeza Kuingia tena .
Briar ingia kwenye kumbukumbu
tokaa
Ingia kwenye Briar
bonyeza kufungua Briar.
sasa
onyesha
ficha
sawa
ghairi
nimeelewa
futa
kukubali
kukata
Mkondoni
Nje ya mkondo
Tuma
Ruhusu
Fungua
Badili
Hakuna data
...
Maneno ulio yainguza nimarefu sana
Kisanduku cha Msaada
Rekebisha
Msaada
Samahani
Haipatikani kwenye mfumo wako
Hali
Hakuna mawasiliano yakuonyesha
Bonyeza ikoni + kuongeza mawasiliano
Hakuna ujumbe
Hakuna ujumbe wakuonyesha
Andika ujumbe
Ongeza maelezo mafupi (sio ya hiari)
Ambatanisha taswira
Imeshidikana kuambatanisha taswira
Taswira ni kubwa sana. Kiwango ni %d MB.
Mfumo wa taswira hauendani: %s
Badilisha jina lako la mawasiliano
Jina la mawasiliano
Futa jumbe zote
Hakiki ufutaji wa ujumbe
Je, unauhakika wa kufuta jumbe zote?
Ufutaji wa jumbe zote umeshindikana
Jumbe unaohusiana na mialiko inayoendelea na utangulizi haziwezi kufutwa hadi amalize.
Jumbe zinazohusiana na utangulizi unaoendelea haziwezi kufutwa hadi amalize.
Jumbe zinazohusiana na mialiko inayoendelea haziwezi kufutwa hadi itakapomalizika.
Jumbe zilizopakuliwa kwa sehemu haziwezi kufutwa hadi amalize kupakua.
Kufuta mwaliko au utangulizi, unahitaji kuchagua ombi na jibu.
Ili kufuta utangulizi, unahitaji kuchagua ombi na jibu.
Ili kufuta mwaliko, unahitaji kuchagua ombi na jibu.
Futa mawasiliano
Thibitisha ufutaji wa mawasiliano
Unauhakika unataka kuondoa mawasiliano na ujumbe wote kati yenu .
Mawasiliano yamefutwa
Wewe
Hifathi taswira
Hifathi taswira?
Uhifadhi wa taswira hii utaruhusu programu nyengine kuiona. Je, unauhakika unahitaji kuhifathi?
Taswira imehifathiwa
Haiwezekani kuhifathi Taswira.
Taswira haipatikani
Anwani yako ya Briar bado haihimili viambatanisho vya picha. Mara tu watakapoboresha utaona aikoni tofauti
Sasa unaweza tuma taswira kwa mawasiliano haya.
Bonyeza ikoni hii kuambatanisha taswira.
Taswira ya kwanza %d ndio itakayotumwa
Ongeza mawasaliano ya walio karibu
Ni lazima ukutane na mtu unaye taka kumuongeza kwenye mawasiliano.\n\nHii ita kuepusha na mtu mwengine kuweza kusoma ujembo wako huko mbeleni.
Endelea
Jaribu tena
Usubiri kwa mawasiliano waku skani na kuunganishwa\u2026
Kubadilishana mawasiliano taharifa\u2026
Mawasiliano yameongezwa:%s
Wasiliano%s tayari lipo.
The QR nambari sio sahihi
Nambari ya QR ulio skana inatokea kwenye toleo la zamani %s.\n\nTafathali wasiliana na mwenzio au boreshe kwenye toleo jipya na ujaribu tena .
Nambari ya QR ulio skana Inatoka kwenye toleo jipya %s.\n\nTafathali boresha kuwa kwenye toleo jipya na ujaribu tena .
Kamera Hitilafu
Unganisha kwenye kifaa\u2026
Uhalisishaji wa kifaa\u2026
Imeshindwa unganishwa kwenye mawasiliano
Kama hilo tatizo linaendela , Tafathali tutumie maoniilituboreshe Programu .
Ongeza mawasiliano kwambali
Ongeza mawasiliano kwa karibu
Ongeza Mawasilina kwa wambali
Ingiza kiungo cha mawasiliano hapa.
Unganisha mawasiliano
Bandika
Ongeza mawasiliano
Nakala
Kushiriki
Badilisha Kiungo.
Chagua lakabu
Ingiza lakabu
Ipe namba hii lakabu . Na niwewe tu utaiona .
Mpe kiungo hichi unaye taka kuwasiliana nae
Kiunga cha Briar
Kiungo nakili
Kulikuwa na hitilafu wakati wa kuongeza mawasiliano
Maombi ya mawasiliano yalio subirishwa
Maombi yalio subirishwa
Hakuna maombi yalio subirishwa
Subiri kwaulie wasiliana nae aje Mkondoni .
Kuunganishwa...
Ongeza Mawasiliano....
Imeshidikana kuongeza Mawasiliano
Hakiki Kufuta
Mawawasilano haya bado yanaendea kuhifathiwa , kama uta ondoa sasa , hayata kuwa yameifathiwa .
Ingiza kiunga cha mawasiliano, ambacho sio cha kwako
Tafathali andika lakabu
Kiunga batili
Hichi kiunga kimetoka kwenye tolea jipya Bria. Tafathali boresha kuwa kwenye Tolea jipya na ujaribu tena .
Umefungua kiunga cha kwako mwenyewe. Tumia kingine unachotaka kuongeza!
Tafathali ingiza Kiungo
1
2
- mawasiliano mapya yameongezeka
- %dmawawasiliano mapya yameongezeka
Hakuna mtandao
Kiunga cha kurudia.
Tayari unayo mawasiliano yenye kiunga hiki:%s
Tayari una mawasiliano na kiunga hiki: 1%s
yani%sna%sni mtu mmoja?
Mtu yuleyule
Mtu Tofauti
%sna%swamekutumia kiunga sawa.\n\nMmoja wapo anajaribu kujuha ninani umewasiliana nae.\n\nUsi waambie umepokea kiunga hicho kwa mtu mwengine .
mawasilano yalio subirishwa yamesasishwa
Tambulisha mawasiliano yako
Unaweza yatambulisha mawasiliano yako kwenu wote,Ili isiwe lazima mpaka wakutane ndio waungane kwenye Briar.
Anza Utambulisho
Chagua mawasiliano
Tayari ulisha kuwa na utambulisho wa mawasilino yanaendelea. Tafathali ruhusa kwanza haya yaishe. Ila kama wewe au unaye wasiliananae wanapatikana muda mchache mtandaoni, itachukua muda kuisha .
Tambulisha Mawasiliano
Ongeza Ujumbe (hiari)
Anza Utambulisho
Utambulisho wako Umetumwa.
Kulikuwa na hitilafu wakati wa utambulisho .
Umeombwa umtambulishe %1$skwa%2$s.
%1$sameombwa akutambulishe Wewe kwa %2$s. Unataka kumuongeza %2$skwenye orodha ya mawasiliano ?
%1$sAmeombwa akutambulishe wewe kwa %2$s,ila%2$sYupo tayari kwenye orodha ya mawasiliano yako . Tangu%1$shafahamu hilo, unaweza ukamjibu tu .
%1$sAmeombwa Akutambulishe kwa %2$s.
Umekubali utambulisho kwa%1$s.
Kabla%1$sAja ongezwa kwenye mawasilino yako, Wanatakiwa wakubali utambulisho vyema . Pia inaweza chukua mudaa
Umekataa utambulisho kwa%1$s.
%1$samekubali utabulisho kwa %2$s
%1$sKakataa Utambulisho kwa %2$s.
%1$skasema kwamba %2$s kakataa utambulisho.
Hakuna kikundi cha kuonyesha
Bonyeza +ikoni kutenege kikundi, au uliza mawasiliano yako wakuunge kwenye kikundi
Imetengenezwa na %s
- 1%d jumbe
- 1%d jumbe
Hichi kikundi hakina watu
Hichi kikundi kilisha futwaa
Ondoa
Tengeneza Kikundi Binafsi
Tengeneza Kikundi
Tuma mwaliko
Chagua jina la Kikundi binafsi
Mwaliko wa kikundi umetumwa
Orodha ya wanachama
Wahalike Wanachama
Umetengeneza Kikundi
%s katengeneza Kikundi
Umejiunga kwenye kikundi
%sAmejiunga kwenye kikundi
Toka kwenye kikundi
Thibitisha kutoka kwenye Kikundi
Unauwakika unataka kutoka kwenye hichi kikundi ?
Ondoka Kwenye Kikundi
Hakiki Kufota kikundi
Unauwakika unataka kufuta kikundi hiki?\n\nWote wanakikundi hawata weza endelea kujadiliana na Hawataweza pata ujumbe mpaya.
kufuta
Kikundi kime futwa
Alie tengeneza kikundi kakifuta .\n\nWewe hautaweza kuandika ujumbe kwenye hili kundi na hutaweza pata chapisho ambalo lilisha wahi andikwa .
Mwaliko wa Kikundi
Umemwalika %1$skujiunga kwenye kikundi \"%2$s\".
%1$samekualika kujiunga kwenye kikundi\"%2$s\".
jiunge kwenye Kikundi
mwaliko wa kikundi umekata
Umekubali mwaliko wa kikundi kutoka kwa %s.
Umekata mwaliko wa kikundi kutoka kwa %s.
%sKakubali mwaliko wa Kikundi .
%sWamekata mwaliko wa kikundi.
Ni alie tengeneza tu kikundi ndio anaweza mwalika mtu tu. Hapo chini ni wanakikundi waliopo.
Onyesha Mawasiliano
Unaweza chagua kuonyesha mawasiliano yote sasa au hapo mbeleni ya wanakikundi.\n\nKuonyesha mawasiliano inafanya kikundi chako kuwa hai na kinapatikana marakwamara , kwasababu unawasiliana na mawasiliano yanayo tambulika hata kama unaye wasiliana nae hayupo mtandaoni
Mahusiano ya mawasiliano yanaonekana kwenye kikundi
Mahusiano ya kikundi yanaonekana ( Yameonyeshwa na wewe)
Mahusiano ya mawasiliano yanaonekana kwenye kikundi (Yanaonyeshwa na %s)
Mawaliano yanaonekana kwenye hichi kikundi
Hakuna Mikutano yaku onyesha
Bonyeza + ikoni kutenege ukumbi , au uliza mawasiliano yako wakuunge kwenye ukumbi
Tengeneza Ukimbi
Chagua jina la mkutano wako
Tengeneza Ukimbi
Ukumbi Umetengenezwa
Hakuna chapisho lakuonyesha
Hakuna Chapisho
Chapisho jipaya
Jibu jipya
Jibu
Toka kwenye ukumbi
Thibitisha kutoka kwenye Ukumbi
unauwakika unataka toka kwenye ukumbi?\n\nNa mawasiliano ambayo uliyaweka kwenye hichi kikundi hawataweza endelea pata taharifa .
Toka
ondoka kwenye Ukumbi
Sambaza Ukumbi
Mawasiliano yalio chaguliwa
Chagua Mawasiliano
hakuna mawasiliano yakuonyesha
Tafathali rudi tena hapa baada ya kuongeza mawasiliano
Jukwaa tulilochangia kwa mawasiliano yaliyochaguliwa
Ungeza Ujumbe (hiari)
kulikuwa na hitilafu wakati changia huu ukumbi
%1$samechangia jukwaa\"%2$s\" na wewe.
Umechangia jukwaa\"%1$s\" na %2$s.
Mwaliko wa jukwaa
Umekubali mwaliko wa ukumbi huu tayari.\n\nNa kukubali mialiko zaidi itakufanya uwe na mawasiliano yako katika jukwaa yawe ya haraka na yakuaminika.
umejiunga kwenye jukwaa
Mwaliko umekataliwa
Umetumwa na %s
Tayari imesha sambazwa
Umekubali mwaliko wa jukwaa kutoka kwa %s.
Umekata mwaliko wa jukwaa kutoka kwa %s.
%sKakubali mwaliko wa jukwaa.
%skakata mwaliko wa jukwaa.
Tawanya hali
Mwana kikundi yoyote anaweza kuwataarifu watu wengine. Una tumia jukwaa hili na marafiki zako . Na kuna watu wengine wanaweza kutoona pia .
Umesabazwa na %1$d(%2$dmkondoni)
Hakuna mtu
Hakuna chapisho lakuonyesha
Soma zaidi
Andika chapisho la Blogi
Andika chapisho lako la blogi
kuchapisha
Chapisho la blogi limesha tengenezwa
Chapisho jipya la blogi limepokelewa
Tembeza kwa
Hakuna chapisho lakuonyesha
Taarifa zote kutoka kwenye Mawasaliano yako na blogi unazo zifwatilia zitatokea hapa\n\nBonyeza kalamu ikoni kuandika taarifa
Ondoa blogi
unauhakika unataka kuondoa hii blogi?\n\nMachapisho yataondolewa kutoka kwenye kifaa chako lakini sio kutoka kwenye vifaa vya watu wengine.\n\nMawasiliano yoyote utakaokuwa umewashirikisha blogi hii wataweza kutopata taarifa mpya.
Ondoa
Blogi imeondolewa
Weka maoni(hiari)
Chapisha tena
Sambaza Blogi
kulikuwa na hitilafu wakati wakuchangia blogi.
tuma kwa wengine Blogi
Tuma blogi kwa mawasiliano yaliyochaguliwa
Umekubali mwaliko wa Blogi kutoka %s.
Umekataa mwaliko wa blogi kutoka kwa %s.
%skakubali mwaliko wa blogi.
%skakata mwaliko wa blogi.
%1$s kamwalika kwenye blogi\"%2$s\" na wewe.
Umemwalika kwenye blogi \"%1$s\" pia%2$s.
Mwaliko wa Blogi
Jisajili kwenye Blogi
mwaliko umekataliwa
Yeyote anayejisajili kwenye blogi anaweza akaisambaza kwa mawasiliano yake. Unashirikisha kwa mawasiliano yafuatayo. Kuna wengine watajisajili lakini usiweze kuwaona.
Ingiza RSS taarifa
Ingiza
Ingiza URL za RSS taarifa
Samahani! Kulikuwa na hitilafu wakati wakuingiza taarifa
Simamia taarifa za RSS
Zilizoingizwa
Mwandishi:
huwisho la mwisho
Ondoa taarifa
Unauhakika unataka kutoa hii taarifa?\n\nChapisho lako litaondolewa kwenye kifaa chako ila sio kwenye vifaa vya watu wengine.\n\nMawasiliano yoyote utliokwisha kuyaunganisha wanaweza wasiendelea kupata taarifa.
Ondoa
Taharifa haziwezekani kuzifuta!
Hakuna RSS taharifa zaku onyesha\n\nBonyeza + ikoni kuleta taharifa
Kulikuwa na tatizo la kufungua taharifa . Tafathali jaribu baadae kidogo.
Lugha &mkoa
Huu mpango utafanya kazi utakapo anzisha tena Briar. Tafathali toka na kuanzisha tena Briar.
Mfumo msingi
Onyesha
Lengo
mwanga
Giza
kiotomatiki (Mchana)
Mfumo Msingi
Viunganishi
Unganisha kwa anwani kupitia Bluetooth
Unganisha kwa anwani kwenye mtandao huo wa Wi-Fi 376 mtandao
Unganisha mawasiliano kupitia mtandao
Muunganiko wote unaokwenda kwa njia ya mtandao wa Tor ni kwa faragha
Unganisha njia kwa mtandao wa Tor
kiotomatiki inatengemeana na mahali
Tumia mtandao wa Tor bila madaraja
Tumia mtandao wa Tor na madaraja
Usiunganishe kwenye mtandao
kiotomatiki:%1$s (ndani%2$s)
Tumia Data ya simu
Unganisha kwenye mtandao wakati wa kuchaji tu
Zima mtandao wakati betri inachajishwa
Ulizi
Funga programu
Tumia nenosiri katika kifaa chako kulinda Briar wakati wa kuingia
Ili kutumia huu mfumo , weka ulizi kwenye kifaa chako
Kifungo cha Programu kimefika mwisho wake
Usipo kuwa unatumia Briar , kiotomatiki itajifunga baada ya %s
Dakika 1
dakika 5
Dakika 15
Dakika 30
lisaa 1
Kamwe
kamwe usifunge Briar kiotomatiki
Badili nenosiri
Nenosiri Lasasa
Nywila mpya
Thibitisha nywila mpya.
Nywila imebadilishwa
Usanidi wa kitufe cha hofu.
kitufe cha hofu
Sanidi jinsi Briar atavyoitikia wakati unatumia programu ya kitufe cha hofu.
Programu ya Kitufe cha Hofu.
programu isiyojulikana
Hakuna programu iliyowekwa
Hakuna
Thibitisha Programu ya Hofu.
Una hakika unataka kuruhusu %1$skuchochea vitendo vya kifungo vya uharibifu.
Vitendo vya Uharibifu.
Toka.
Sanidi kutoka kwa Briar ikiwa kitufe cha hofu kimesisitizwa.
Futa Akaunti.
Futa Akaunti yako ya Briar ikiwa kitufe cha hofu kimesisitizwa .Tahadhari: Hii itafuta kabisa utambulisho wako, anwani na ujumbe.
Arifa
Nikumbushe kuingia.
Onyesha ukumbusho wakati simu inaanza au programu imesasishwa.
Ujumbe binafsi.
Onyesha taarifa za ujumbe wa faragha.
Sanidi arifa kwa ujumbe wa faragha.
Ujumbe wa kikundi
Onyesha arifa za ujumbe wa kikundi.
Hakiki ujumbe wa kikundi
chapisho Ukumbi
Onyesha tahadhari kwa chapisho la jukwaa
Hakiki taarifa za chapisho la jukwaa
chapisho blogi
Arifu kwa chapisho ya blogi
Hakiki taharifa za chapisho kwenye blogi
mtetemo
Sauti
Mwiito mkuu
Hakuna
Chagua mwiito
Ina shindikana kufungua mwiito
Maoni
Tuma Maoni
kiungo onyo
Uko karibu kufungua kiunga kifuatacho na programu ya nje
Hii inaweza kutumika kutambua wewe. Fikiria kama unaamini mtu aliyekutumia kiungo hiki na Fikiria kuifungua kwa kivinjari cha Tor.
kiunga wazi
Ripoti fupi ya ajali ya Brair
Samahani, Briar imeharibika.
Hili sio kosa lako
Tafadhali tusaidie kujenga Briar bora kwa kututumia ripoti ya taharifa.
Tunaahidi kuwa ripoti hiyo imesimbwa kwa njia fiche na kutumwa salama.
maoni
Eleza kilicho tokea (hiari)
Weka Maoni yako
Barua pepe yako (hiari)
Jumuisha data isiyojulikana kuhusu ajali
Jumuisha data isiyojulikana kuhusu kifaa hiki
Tuma repoti
Funga
Kutuma mrejesho...
Ripoti imehifadhiwa. Itatumwa wakati ujao ukiingia kwenye Briar.
Kuondoka Kwenye Briar...
Ufunikaji wa skrini umegunduliwa
Programu nyingine inachorwa juu ya Briar. Ili kulinda usalama wako, Briar haitajibu kugusa wakati programu nyingine inachorwa juu. \n\nProgramu zifuatazo zinaweza kuchorwa juu:\n\n%1$s
Ruhusu programu hizi kuteka juu
Ruhusa ya Kamera
Ili kuchanganua nambari ya QR, Briar inahitaji ufikiaji wa kamera.
Ruhusa ya eneo
ilikugundua vifaa vya Bluetooth, Briar inahitaji idhini ya kufikia eneo lako. \n\ nBriar hahifadhi eneo lako au kushiriki na mtu yeyote.
Kamera na Eneo
Ili kuchanganua nambari ya QR, Briar inahitaji ufikiaji wa kamera. \n\nKugundua vifaa vya Bluetooth, Briar inahitaji idhini ya kufikia eneo lako. \n\nBriar hahifadhi eneo lako au kushiriki na mtu yeyote.
Umekataa ufikiaji wa kamera, lakini kuongeza anwani kunahitaji kutumia kamera. \n\nTafadhali fikiria kutoa idhini ya kufikia.
msimbo wa QR
Onyesha skrini nzima ya msimbo wa QR
Fungua Briar
Ingiza PIN ya kifaa chako, fumbo au nywila kufungua Briar
Gusa kihisi cha alama za vidole kilicho sajiliwa na kidole husika ili kuendelea
Tumia Nywila
Briar imefungwa
Bonyeza kufungua
Briar inaweza kuungana na anwani zako kupitia mtandao, Wi-Fi au Bluetooth. \n\n Muunganisho wote wa mtandao hupitia mtandao wa Tor kwa faragha. \n\n Ikiwa anwani inaweza kufikiwa kwa njia nyingi, Briar huitumia kwa usawa.
Alice
Bob
Carol
Habari Bob!
Habari Alice! Asante kwa kuniambia kuhusu Briar!
Hakuna tatizo, natumaini umeipenda 😀